Hosptali nzuri kwa tatizo la uzazi mikoa ya kanda ya ziwa(kagera, geita na mwanza)

Hosptali nzuri kwa tatizo la uzazi mikoa ya kanda ya ziwa(kagera, geita na mwanza)

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Mimi na Shemeji/wifi yenu tunapitia wakati mgumu sana kuelekea kuongeza mtoto wa pili,
wakwanza anaelekea miaka 8,
naomba msaada wa kujua ilipo hospital inayoweza kutoa huduma bora mengine tunamwachia Mola.
Ahsanten wadau.
 
Back
Top Bottom