Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,672 Reaction score 6,880 Jan 14, 2015 #1 Mimi na Shemeji/wifi yenu tunapitia wakati mgumu sana kuelekea kuongeza mtoto wa pili, wakwanza anaelekea miaka 8, naomba msaada wa kujua ilipo hospital inayoweza kutoa huduma bora mengine tunamwachia Mola. Ahsanten wadau.
Mimi na Shemeji/wifi yenu tunapitia wakati mgumu sana kuelekea kuongeza mtoto wa pili, wakwanza anaelekea miaka 8, naomba msaada wa kujua ilipo hospital inayoweza kutoa huduma bora mengine tunamwachia Mola. Ahsanten wadau.