Hossam Hassan awa kocha mpya wa Misri

Hossam Hassan awa kocha mpya wa Misri

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Screenshot_2024-02-06-22-47-38-1.png


Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo

Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
 
Semi final AFCON 2023

1)South Africa. Sio mzawa

2)Nigeria. Sio mzawa

3)Ivory coast. Mzawa

4)DR Congo. Sio mzawa


Hii takwimu Watu wanayo ila wametulia tulii. Wanasubiri msimu fulani wazawa wakijaa semi
 
Back
Top Bottom