Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 7, 2024 #1 Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
Said Stuard Shily JF-Expert Member Joined Jul 18, 2017 Posts 2,396 Reaction score 2,108 Feb 7, 2024 #2 Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa
valet de chambre JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,044 Reaction score 1,112 Feb 7, 2024 #3 Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Sasa hivi timu nyingi za taifa Africa zinarudi kufundishwa na Wazawa. Ni jambo zuri. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Sasa hivi timu nyingi za taifa Africa zinarudi kufundishwa na Wazawa. Ni jambo zuri. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,729 Reaction score 10,500 Feb 7, 2024 #4 Semi final AFCON 2023 1)South Africa. Sio mzawa 2)Nigeria. Sio mzawa 3)Ivory coast. Mzawa 4)DR Congo. Sio mzawa Hii takwimu Watu wanayo ila wametulia tulii. Wanasubiri msimu fulani wazawa wakijaa semi
Semi final AFCON 2023 1)South Africa. Sio mzawa 2)Nigeria. Sio mzawa 3)Ivory coast. Mzawa 4)DR Congo. Sio mzawa Hii takwimu Watu wanayo ila wametulia tulii. Wanasubiri msimu fulani wazawa wakijaa semi
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Feb 7, 2024 #5 , Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Sir ferguson, Johan cruyff,
, Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Sir ferguson, Johan cruyff,
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 8, 2024 Thread starter #6 Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... ππππ
Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... ππππ
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 3,629 Reaction score 4,831 Feb 8, 2024 #7 Jambo jema