Host wa The Ellen Show atimiza miaka 9 ya ndoa

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Mtangazaji na muigizaji Ellen De Generes anaefahamika kwa kuhost show ya the ellen show amesherekea kwa kutimiza miaka tisa ya ndoa yake aliofunga na mwanamke mwenzake muigizaji wa zamani Portia De Rossi kupitia account yke amepost picha za pamoja na kuandika caption.

@PortiadeRossi and I got married 9 years ago today. Being her wife is the greatest thing I am.

N B: Ndoa yao bado hawajabahatika kupata mtoto




G.O.M.D
 

Attachments

  • 1502919097243.jpg
    28.2 KB · Views: 61
  • 1502919136999.jpg
    28.8 KB · Views: 59
haa haa eti hawajabahatika kupata mtoto. ...lkn siku moja kwenye show waliwahi kureveal kwamba ndoa yao itakuwa ni childless coz hawajaplan kuwa na watoto
 
Miaka 9 ya kupigana finger na msaada wa dildo

Kweli ni wavumilivu tchaaaaaa


Hivi wanaume wameisha? Nashindwaga kuelewa
 
Miaka 9 ya kupigana finger na msaada wa dildo

Kweli ni wavumilivu tchaaaaaa


Hivi wanaume wameisha? Nashindwaga kuelewa
mi huwa najiuliza wanafanyaga nini .. kumbe ni mwendo wa fingers khaah! sasa raha iko wapi
 
Dah wamejitahidi maana huko nje tunaona man na woman wanaolewa hawafiki miaka hiyo..
Ila dah dunia hii basi tu ndiyo madhara ya uhuru tuliopewa...
 
Kwenye same sex marriages, kama ni wanawake wote ni wives, na kama ni wanaume wote ni husbands. Kwahiyo hapo Ellen ni wife na Portia ni wife pia. Kwasababu mwanamke hawezi kuwa husband.
Lakin Ellen ndio kaoa maana alimvisha pete na kuamua kufunga nae ndoa
 
Lakin Ellen ndio kaoa maana alimvisha pete na kuamua kufunga nae ndoa


Ndio, kwenye mahusiano ya aina zote kuna passive na active. Normally, mwanaume ndio active na kwenye same sex relatioship mmoja wao ndio anabeba jukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…