kuna mtu mmoja ana hostel Masaki,rooms zake zina AC,kuna sehemu kubwa tu ya kulaza Magari,unafuliwa mpaka nguo ukitaka,kuna jiko lenye fasilities zote za jikoni kuanzia jiko la umeme,jiko la gas,friji na vitu kama hivyo,bei ni maelewano.niPM nikupatie number zake uongee naye mmaweza elewana!!!!
Zile - kwani zinaeleweka tayari hizo huduma zingine za ziada, ha ha ha hamkuu huko garama mi ninae anatoa huduma zote kama huyo na zile nyingine za ziada utakazopenda pamoja na kufuliwa nguo aina zote bila kuchagua