Hostel,,,Hostel CBE Sabasaba

Hostel,,,Hostel CBE Sabasaba

kamwendo

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
900
Reaction score
1,923
Kwa yeyote mwenye kujua nafasi za hosteli zinazopatikana maeneo ya sabasaba ndani naomba atufahamishe sababu tupo wanafunz wengi tuliokosa hosteli....Angalizo ni vyema tukafahamishwa gharama za malaz, na chakula na hostel iwe karibu na maeneo ya sabasaba
 
Kuna cbe dsm,dodoma na mwanza...........sasa wewe unazungumzia cbe ya wapi?
 
cbe ya dar mkuu,wana classrooms maeneo ya sabasaba mbagala
 
Back
Top Bottom