Hostel ya vyumba 12 inauzwa Tanga Kange kasera Kwa bei ya million 50 Top no dalali … Ina kila kitu hati miliki…. Ni sqm 412 … ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi …. Kwa mawasiliano 0612630936
Yeah iyo ilikua Bei ya zaman mwaka mzma umepita sasa na muhusika amehamishwa Kikazi so tumeshusha iyo price .. narudia Tena sio dalali n muhusika kabsa