MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
kuna hii track ya Avicii inaitwa wake me up. nafikiri ndiyo EDM video yenye views nyingi zaidi youtube. inazo 960milioni.
Uko Juu sana!huwa nampenda sana florence Welch. album ceremonials ya Florence and The machine ni kali sana.
hiyo hiyo. ngoma ilifanya vizuri. lyrics zake tamu sana.Ile ngoma ameimba Aloe Blacc
mkuu inaonekana unampenda sana Avicii. the night naipenda sana lyrics zake. i could be the one napenda sana video yake. ni kama movie moja inaitwa office space.1.Avicii -wake me up
2.Avicii-you make me
3.Avicii-hey brother
4.Avicii-waiting for the love
5.Avicii-The night
6.-Avicii ft Nicky romero- i could be the one
7.Avicii- secret
8.Avicii-Arrow
9.Avicii-touch me
10.Avicii -darkness
11.Avicii ft Erick turner- dancing in myvmind
12.Avicii- the dark
13.Avicii-i will be gone
14.Avicii-levels
Best songs ever....!!!
mi mshabiki wa melodic EDM. kwa hiyo hapo ni Dash Berlin, Alesso na Avicii. ila nahisi Guetta atakuwa anaongoza kwa kupendwa.Yupi hapo ni mtabe zaidi ukiachana na namba aliyopo...mimi binafsi namkubali Hardwell na Avicii...wewe je...??
Edm songs ndio kilevi changu....[emoji4] [emoji4] [emoji4]mkuu inaonekana unampenda sana Avicii. the night naipenda sana lyrics zake. i could be the one napenda sana video yake. ni kama movie moja inaitwa office space.
Ebana hawa watu wanatumia illuminant power kucompose edm beats daaaaaah..make wananishka kinyama[emoji4]mi mshabiki wa melodic EDM. kwa hiyo hapo ni Dash Berlin, Alesso na Avicii. ila nahisi Guetta atakuwa anaongoza kwa kupendwa.
Na saiv Calvin Harris kashaachana na Taylor Swift nahisi kuna hit songs au album inakuja from these guys.. Drama za wazungu always zinalead to something, wanajua sana kucheza na akili Za watu. Na kwa mda kama huu nyimbo yoyote ya Calvin Harris ikitoka lazima iwe Hit Song. Ngoja tuone Harris anatuletea nini maana naona Guetta katulia kidogo.
ngoma kali sana. huyo mfaransa huwa hakosei. ngoja nitafute audio yake.David keshatoa ngoma mpya inaitwa This One's for you ft Zara Larsson
Ndiyo moja ya Theme Song za UEFA EURO 2016