Hot electronic dance music

Matrix & Future Bound ft Max Marshall- Fire

Hii kitu iko moto sanaaa
CC: zitto junior , Red Giant , Benny
Iko moto haswaaa ila kwa upande wa hizi house mkuu kuna remix moja wameifanyia I need your love ya ellie goulding kwa tropical beat na Hymn for the weekend ya coldplay yaani hizo sijawahi kuzichoka kabisa embu zisample hapa

ngoja nizisikilize
 
Alieamsha huu Uzi kanikoshaaa...
Hizi nyimbo kwa sisi waenda club wa kipindi hicho tulikuwa tunazipenda sana cz tulikuwa hatuna Mademu(hizi saa Tisa Dj malaria kashaanza Fanya yake)
 
kuna Bongo fleva moja ina kiitikio kinasema "Mi naruka juu". Ina tuvionjo twa EDM. kila nikiitafuta siipati. Kuna anayejua jina lake?
 
Iko moto haswaaa ila kwa upande wa hizi house mkuu kuna remix moja wameifanyia I need your love ya ellie goulding kwa tropical beat na Hymn for the weekend ya coldplay yaani hizo sijawahi kuzichoka kabisa embu zisample hapa

Mkuu Zitto Jr nimesikiliza, shukrani sana kwako
 
Iko moto haswaaa ila kwa upande wa hizi house mkuu kuna remix moja wameifanyia I need your love ya ellie goulding kwa tropical beat na Hymn for the weekend ya coldplay yaani hizo sijawahi kuzichoka kabisa embu zisample hapa

Hymn for the weekend imetengenezwa sana aisee!
 
DAH KUNA HII YA ROC BOYS YA JAYZ YANI NI LAZIMA KUISIKILIZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…