MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
-
- #241
dah yani hapo umemweka sister mmoja nakubali sana nyimbo zake, lana del rey namkubali sana ananyimbo yake inaitwa ride,gods and monsters.🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Lana ni wa moto sanaaa!dah yani hapo umemweka sister mmoja nakubali sana nyimbo zake, lana del rey namkubali sana ananyimbo yake inaitwa ride,gods and monsters.
Richard Bedford anaimba kama Sam Smith
Kabaunyeri umetisha sana, eti huu uzi wako niliuruka nikalike tu bila kusikiliza.
Huyu dogo alitisha sanaaa!Mkuu tukiwa bado kwenye majonzi ila naona kama unampotezea kwa mbaali Dj MATOMA naye yuko vizuri sana anafanya beat za Tropical ni hatari sana
Nmeipenda alivyofanyia remix hii ngoma ya notorious BIG na Snoop dogg
Bila kusahau nyimbo iliyomtambulisha kwenye international scene akiwa na popcaan hatari sana sijawahi kuichoka ngoma hii
Hii mzee yamoto sana