Hot Gossip in town: Tetesi zinasema Meninah na Diamond waanza vikao vya harusi

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Haya jamani habari zisizo kuwa na uhakika zinasema Diamond na Meninah kuoana soon na vikao vya harusi viko chini ya usimamizi wa mama Naseeb na Queen Darleen.

===============

 
Zako hazina uhakika kumbe?? Next time zikiwa na uhakika njoo tena
 
Acha huo use nge .tafuta wakina kadinda ndio uwaambie huo ujinga wako. yaaani kazi imewashinda mmebakia kuunda matukio pamoja na kaka yake menina (ATIK). mbaf sana . kinyambe nn?
 
yaani huna uhakika au ndo umekuja kumpaish bosi wako maana hap kati hajaongelewa mda kweli tumemchoka
 
Cheap publicity

Mwambieni baba ubaya na mameneja wake watafute mbinu nyingine hii imeshapitwa na wakati
 
Cheap publicity

Mwambieni baba ubaya na mameneja wake watafute mbinu nyingine hii imeshapitwa na wakati

baba ubaya anaona katemwa na wema hakuna skendo tena anataka aanze mchafua binti wa watu.kimtu chenyewe hata hakina swaga tabu tu.safari hii atasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…