Hot: How Do Spies Gather Intelligence?

kweli kabisa ndugu hiyo ndio silaha yao kubwa sana
 
african governments still relay on human intelligence to gather information.
 
Espionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.

Ujasusi ni taaluma moja ndefu na pana sana.
 
Samahani huyo kwenye avatar ni wewe??
 
Kutafuta classified data sio kazi ya kitoto kaka yangu kwa maana hao wenye nazo wanajua wanawindwa na kuchunguzwa 24 hours.


Kina "smooth operators"...."silent killers"......"cold beauty"......"deadly sweetness"......."sweet poison"......"queen of darkness".....na wengine kibao, kwao obtaining such info is a piece of cake!

Mostly I believe being a Spy should be [HASHTAG]#Born[/HASHTAG] & [HASHTAG]#Bread[/HASHTAG] from the Inside out and not the Outside in! Kama umekua designed naturally (umezaliwa hivyo) kuwa Spy then hakuna mission itakua ngumu , only utaPata challenges kibao to cut you down, na the more you face them challenges the more it cuts you into something even more deadly & great!
 
Fanyeni kazi aisee ishu ya ujasusi inahitaji hela sasa sisi hata mishahara ya kitengo na walinzi wa rais ni hela za misaada kutoka kwa wahisani
 
Upo sahihi kwa upande mmoja lakini kumbuka pia hao unaotafuta data zao pia wapo very very smart na wanazo human assets equal or better than you, sawa? So inawezekana wanachowaza spies wa Israel sasa hivi ndio walichowaza counterspies wa Iran 3 months ago.
 
Sawa dada Jasusi
 
Aisee ungekuwa,hujaolewa ningeomba,nikuoe ili watoto wawe more intelligent kama wewe
 
Hata Bashite alikuwa na mbinu zake almanusura aanikwe sema tuu mzito kaokoa jahazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…