Hot: How Do Spies Gather Intelligence?


Asante, mkuu, nilikuelewa.

Ila samahani, Mimi siyo spy ila Nakupenda naweza kutunikiwa zawadi ya ushindi!?
 
Iko hivyo
 
hawa watu huwa wanabobezwa kwenye taaluma ya mauzo(sellings), wana sells kwa kila idara a ndo maana hata watu wanakuwa interested na kitengo, ila kiuhalisia kuna vitu extra ambao hata wao hawavijui ambavyo baadae vinawaacha kuwa matahira.. ili habar ziwe classified.. ila pia ambapo mbinu hizo hizo zitatumiwa na watu binafsi kwa minajili ya kukuza uchumi au biashara binafsi mafanikio makubwa yatapatikana... ila ikitumika kifisadi au kwa kulaghai pia malengo yatatimia...

kukusanya taarifa na kuzifanyia kazi ndo jambo muhimu bila kudhuriwa na taarifa hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…