Hot pot family

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
habarini wakuu poleni na majukumu kuna kitu nafikiria lakini sipati jibu kauli swali ninalojiuliza kila siku ni kwamba hivi wale hot pot family nje kula,kujazachoo na kulala huwa mnawaza nini?
 
Tunawaza muda wa kula tu
 
habarini wakuu poleni na majukumu kuna kitu nafikiria lakini sipati jibu kauli swali ninalojiuliza kila siku ni kwamba hivi wale hot pot family nje kula,kujazachoo na kulala huwa mnawaza nini?
Unaweza kurudia ulichoandika kwa lugha nyepesi kidogo maanake sijaelewa chochote?
 
Kiongozi U-GT (Great Thinker) naamini haupimwi kwa misamiati na lugha zisizoeleweka bali kwa uzito na weledi wa hoja au nyuzi unayoanzisha.

So ungeandika tu uzi wako kwa lugha na misamiati inayoeleweka, ingependeza zaidi.

Good Morning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…