Hot story

kwa hiyo haka ni ka mgomo? acheni ubinafsi na uchoyo, vinginevyo na siye wasomaji tutasusia tuone kama itaendelea kubeba jina la hot story.

wamesahau hakuna fanani pasipo na hadhira
 
Mh vp mbona kumepoa au ndo na imeixhia hapo

habari zenu wazima humu

nimejaribu kumcheki yule kijana kwenye simu but hapatikani kana akiwa online nitambembeleza amalizie clip zote.
 
Duh, ukiwa na kipaji mbona utawakalisha watu na watasanda. Sawa bana, ila jamaa yupo vizuri, duh.
 
watz bana

Mkuu huyu jamaa naona alipojua story zake zinasambaaa akamua afanye biashara ni.hivi tupo sehemu ya 70 kama sikosei hicho kitabu kikija muendelezo utakuepo ila sasa hakina ladha watu tushasoma kuanzia mwanzo had had uhondo ushanoga kama alitaka biashara bas asingeitoa mwanzo.had hapo n atoe tu kitabu wapo watakaonunua wapo tutakao acha kukinunua
 
kwani angeimalizia hii story ili tununue story zingine angepungukiwa nini?
 

mama facebook hana story moja hanazo nyingi sana so anamaanisha hizo nyingine itabidi ahandae kitabu ili guvu zake ziweze kumfaidisha kwani hapo kafanya vibaya.
 

wewe nini unajishaua kama hutaki watu wasome usingeiandika popote ungeiacha tu kichwani kwako hakuna ambaye angekuuliza
hiyo blog yako imezuia copy au ndio kujiona unajua sheria kumbe hujui lolote haya ifute hapa sio kulalama kama muimba taarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…