Hot talk na Heaven on Earth live

Mi nashauri uwe unamtaja kabisa mgeni wa wiki inayofuata ili tujipange kimaswali.mfano Leo ungetuambia mgeni Wa next week

Asimtaje. Itaondoa surprise. hivi hivi anatustukiza! Ukilala umepitwa!
 

tena mwingine stimu haziji bila kushika mic yaani
uktoka pale ukifkria unaweza ujikatae
 
KUbwa la maadui usiue mbu kwa nyumba. U should be kind to the guest. if i have ways of getting u there why should i? na hiyo kitu inaitwa chumvini i'll never do it, i would rather cut my prick an through it to dogs. Believe me there are men who know how to ''hit u where it hurts'' huhitaji kutumia mshale kumwua tembo wakati una bazoka. Waswahili walisema Ukubwa wa boflo kiboko yake chai.

 

mi nimesoma hapa tu!!!! asee umeukimbiza usingizi wangu wooote
 
Heaven ulishawahi kuingia kwenye relation ambayo ilikufanya ujute kuingia?Na kipi kilikufanya ujute?
 
Last edited by a moderator:


Hii comment inanitesa , leo nisipokuotaa wallahi sijui ngoja tuone
 

HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Hiko KIBAMIA UKIJITAHIDI SANAA KIMBILIMBI Umpige nacho mtu katerero!!!!!!!!!!!!!!! Tobaaaaaaaaaaaaaaa! Usichekeshe walionuna! HIVI HIO SCENE YA KIMBILIMBILI UNAJITUTMUA UNAKISAIDIA NA VIDOLE KUPIGA KATERERO! Hahahaaaaaaaaaaaaa! SI UTAJIAIBISHA MDOGO WANGU!

Nyie ndo wale asubuhi mtu anaasambaza mtaa mzima, kimbilimbi kile, shombo shombo! Una aibika bure KUJIFNYA TERMINATOR MANDINGO MZEE WA KAZI, HESHIMA DUDU kumbe unajaribu tu kisa ulisikia kijiweni katerero! Katetrero ilikuwa zamani watu wanakula nyama kwa ndizi, dushe dushe kweli, sio saivi chipsi yai! Alaaaaaaaaaaa! Unamkuta mwanamke wa kihaya, mashallah, mashallah zigo hilooo na hiko kibamia katerero lazima uchemshe.

Ila ukiwa smart kichwani unazama tu, ukiibuka kimbilimbili, vidole, chochote kitachokupa ushindi twende. Mwenye anastuka yuko anga za 7, kilichotokea siri yako. Shauri yako! DAWA YA WOGA KUUKABILI! Zama chumvini mpaka ukuzoee!
 
ulishawahi kutendwa?. kama ni ndio alishajiuliza unakasoro gani? mshkaji mambo ambayo anayakosa kwako mpaka akayatafute nje
 
...swali la kizushi ni nani unamkubali sana jf ME? ( sijui jibu ni lile lile la zamani) umbea wangu tu hahahaha vinginevyo ahsante kwa kukubali kuhojiwa na wenye maswali nawaruhusu

Sijui uchokozi umefunzwa na nani atii...!!!
 



lara 1
 
Last edited by a moderator:
tena mwingine stimu haziji bila kushika mic yaani
uktoka pale ukifkria unaweza ujikatae

Mic yenyewe iwe inashikika basi! LOL! Kitu kimesinyaa, babu si babu tafrani tupuuuuu! Afu inavugumaaa vundoooooo lile la kurudia boxer! Hahahaaaaaaaaa! Lazima urudishe chenchi. Afu ukute zivu hajalinyoa vizuri linakupalia mdomoni, unakohoa kama roho inatoka, mengine unatoa na stick! Haahahaaaaaaaa! Mapenzi uchafu balaaaaa! Mtu asipooga nikamuona yule katoka bafuni, namnusa ananukia sabuni MIC SISHIKI! Ooooooh niliog kabla ujaja! Akhaaaaaaaaaaa! Nitajikausha mpaka ashangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…