Uliyoandika nasema upo sahihi kwa mtazamo wangu.
Ila ikiwa hiyo picha ndiyo ulichozungumza si sawa.
1.Kiatu ulichovaa ni black wakati huo mkanda ni brown (Vinapaswa viwe na rangi moja)
2.Suruali ina lux (kama nimekosea nirekebishe) kubwa wakati mkanda ulionao ni mdogo hivyo inafanya mkanda kupanda juu ya lux hii haitakiwi.
3.Aina ya kitambaa ulichochagu (Hapa nisiseme sana tunatofautiana).
4.Aina ya saa uliyovaa haendani na namna ulivyovaa.
NB....Kiatu ulichovaa ni kizuri ila umekishusha hadhi kukivalia nguo zisizoendana.