Amna kivipi wakati bills kibao zinalipwa kwa dolaTumekubaliana amna dollar kulipia tz au tangazo ni fake la kutotumia dollar
Nimeona BOT wameeka i think this week bado hawajaw serious naona wanataka thaman ipandeAmna kivipi wakati bills kibao zinalipwa kwa dola
Ndo ndugu dalali nimemuuliza?BOT wako busy tu kutoa matamko yao kuhusu manunuzi ya vitu kwa pesa za kigeni (na hasa dola) ndani ya nchi! Utekekelezaji hakuna.