Hotel/guest za bei nafuu Kampala

Galaxy wapo poa. Ex rate nzuri ipo mpakani .
we upo wapi.
Kama ni kanda ya ziwa ,ela tunaacha kwa Hadija Mwanza , kisha tunasafiri free , ukifika kap city unachukua mzigo wako.
Oy fafanua vizuri huyo HADIJA siyo yule mwenye undugu na FATUMA mvunja milango ya nyumba za watu usiku
 
Siku hizi kuna Air BnB kila mahali. Jaribu kujisajili kwenye huu mtandao, unaweza kupata mahali pazuri pa kukaa nchi yoyote duniani
 
ni ubunifu mkubwa, hongereni. Unaondoa gharama za kutoa pesa eg kutoka kwenye simu au bank.
 
UGANDA HAMNA WIZI
WEKA TIGOPESA AMA.MPESA UNATOA KADRI UNAVYOTUMIA RTE NZURI KABISA
 
Pia hii stail kwa yeyote mkaz au mzawa wa Dar cjui Kama atakubali kufanya huu upuuzi maana ukiishi Dar lazima uathirike kissikolojia utajua ndo ilee bongo Dar es salaam [emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji40][emoji40]
Hiyo staili ya kwa Khadija imenipa tafakuri ya aina yake. Ninadhani uliyeidokeza ungepoteza muda wako kidogo uiweke sawa zaidi. Ninakiri kuwa umeiongea lakin kwakweli umegusia tu. Bado sijakupata hapo miamala inavyofanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF AIKOSI VITUKO WALLAHI

MMADA LODGE ZA BEI RAHISI PG ZOTE HADIJA VS TIGONYESA KHA MUANZISHE AMA MFUTE HIOO KICHWAYAHABARI
 
Unaokoa kupora hela,mzigo hauporwi?
 
Hivi nauli kutoka mwanza-kampala ni ngapi?
 
Kwa wenyeji wa Uganda,nataka kuja kufuata mzigo wa biashara ya nguo huko Uganda, je.
1Maduka gani huko ni mazuri,na yako maeneo gani hapo kampala?
2.Guest IPI,au Hotel ipi ambayo ni safe and affordable?
3.Ushuru mpakani,inakuaje?
Thanks!
 
Wazee Uganda vp bado kunaendeka na hii covid 19? Hakuna shida tena pale mpakani? Khs biashara vp bado zinaendelea au wapo lockdown?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…