Hotel nzuri iliyoko karibu na UDOM

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,820
Wakuu nitakuwa na safari ya kwenda Dodoma, naomba wanajua maeneo hayo au kama uliwahi kufikia maeneo ya UDOM wa nisaidie majina ya hotel na ukijua bei zao utakuwa imenisaidia sana.
 
Jamaa atakuwa ana elekea katika kikao chenye maslahi mapana

Ila kama ni hizi interview basi ulizia gesti na lodge na bei zake...

Hotels kama wewe ni mtumiaji na ofisi imekutengea bajeti basi huna aja ya kuuliza bei... unaenda morena na 200k kwa siku una panda daladala kwenda ktk kikao au bodaboda... na una kula kwa mama ntilie swafi
 
Dodoma hotel na Morena Hotel, pia st gasper kama kutakuwepo na njia ya kutoboa Udom.. ila za karibu ni hizo mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…