Hotel nzuri ya kulala wageni Tanga

Magita

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
319
Reaction score
144
Habari, mwenye kujua hotel nzuri Tanga ya kulala Wageni (fees iwe kutoka 25,000 - 35,000 per night).

Ahsanteni
Nitasafiri kesho for 3 days.
 
Pentagon Palace Hotel (2001) nyuma ya Tanga UWASA.

Me niliipenda iko affordable, choo kisafi, kitanda kizuri, hot n cold water, kuna chai ya bure, AC na fen, na TV.

Parking ni nje kwahiyo kwa wachepukaji sio nzuri maana mtu akipita analiona gari lako.
Ila ulinzi upo.
 
Nyinda, Mtendele,Dolphin wewe Google zipo nyingi.
 

Ahsante

Unaweza kuwa na No. zao?
 
Hivi na zenye huduma yetu pendwa papuchino kwa karibu hapo tanga ni zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…