Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hawajapata maelekezo yakuendelea kuchapa kazi kujenga uchumi?????😭😭
Mkuu unavyosema Ni kweli Ila kwa afrika maneno mengi kuliko utekelezajiViongozi wa Africa wana cha kujifunza kwenye hili janga la Corona, Wananchi wa Africa tunachakujifunza pia kwenye hili janga la Corona..
Watu kwa kiasi kikubwa kuwa na maisha bora na kuishi modern life ni jambo la msingi sana na kipaumbele namba moja..Siasa za kijinga, uongo uongo na unafiki ni vitu vinavyotakiwa kuachwa mara moja na maisha ya watu yaboreshwe..
Wafanyakazi wawahi kulima hakuna mshahara,service charge wala tips.
Watanyooka sana.
Hawa hawajapata maelekezo yakuendelea kuchapa kazi kujenga uchumi?????😭😭
Siamini lolote analosema huyo jamaa.
Roho mbayaWafanyakazi wawahi kulima hakuna mshahara, service charge wala tips.
Watanyooka sana.