Hotel za Wachina zinapatikana eneo gani Dar es Salaam

Hotel za Wachina zinapatikana eneo gani Dar es Salaam

Rion Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
623
Reaction score
691
Habari za mchana wana JF,

Nilikuwa naomba kujua hoteli za Wachina kwa hapa dar es salaam zinapatina maeneo gan? Kama unajua hotel yoyote ya wachina na mahala ilipo unijuze
 
Mikocheni zipo kibao za wathai ni hao hao kina shing shong nenda ukapigwe na vyuma vikali
 
City Centre Hapo Jirani Na CRDB Tawi La Holland Ipo
 
Hivi ile china plaza mmiliki ni wachina?
 
Back
Top Bottom