lete hela mm nifanye hiyo kazi ya kutafuta hotel na guest pamoja na wamiliki wake, how coma mtu azunguke kukutafutia ww bure?
Ongea dada.
Salaam wakuu,
nahitaji orodha ya hotels, lodges, na guest house zenye hadhi ambazo ziko under construction na ambazo zimefunguliwa hivi karibuni, popote Tanzania, kuondoa hapa Dar. Ukiandika na mawasiliano ya mmiliki au hata jina lake tu utakuwa umenisaidia sana, kuna kazi nahitaji kufanya na hawa wakuu. Natanguliza shukrani.
unaishi wapi mkuu wangu kusikokuwa na "hayo mambo"?...:confused2:
Hahahahaa...jinga! Kumbe na wewe una vituko mkuu?!
ni kweli mkuu, lakini kama ni mwenyeji wa sehem husika ni rahisi kumjua mmiliki.
Nakushauri uende kwenye mamlaka husika kama unafanya utafiti kweli na unahitaji majibu sahihi vinginevyo utaambiwa zote zinazojengwa kila mkoa ni za Rizimoja!
Sasa vituko gani tena, kukaa tandale ni vituko???? nitake radhi vinginevyo naandamana hadi kwa rais wa manzense madee.