Hoteli mpya Machame inayojengwa na Reginald Mengi

Hoteli mpya Machame inayojengwa na Reginald Mengi

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Habarini,
Kuna fununu nimesikia kuwa eti mengi anajenga hoteli ya kitalii kule Machame , je kuna ukweli wowote juu ya habari hizi? na sisi kama member wa jukwaa la biashara na uchumi ni fursa zipi tunaweza kuzipata kutokana na ujenzi wa hiyo hoteli especially kwa sisi tunaokaa kilimanjaro

Nakaribisha mawazo yenu warumi
 
Last edited by a moderator:
Be a supplier, that's big opportunity for u mkuu....hotel yyt huwa inakuwa na mahitaji mhimu km vyakula, mboga za majani, mayai, hygienic nk...lakini pia kuna direct services kwa wateja wanaoenda kwny hiyo hotel, mfano duka la vinyago (gift shop) na huduma nyingine nyingi
 
okay. madam thread imeandikwa kwa warumi atakuja kukujibu.
 
Back
Top Bottom