Hoteli mpya na kubwa ya kitalii na kibiashara kujengwa Mtwara Tanzania na mwekezaji maalum

Ahsante Kikwete, mambo yote ni Ntwara kwa sasa.

Asiyeziona fursa na anabaki kulalama tu humu JF huyo hatoziona fursa maisha yake yote.
 
Ahsante Kikwete, mambo yote ni Ntwara kwa sasa.

Asiyeziona fursa na anabaki kulalama tu humu JF huyo hatoziona fursa maisha yake yote.

sio Ntwara
sahihi Mtwara
usipende kutumia vibaya jina la KIKWETE ili uonekane unamahaba naye,JK ameingiaje katika hili,ukimtaja taja hovyo kila jambo unaloona ni mafanikio kwa sasa,basi ukubali kumtaja kila baya linatokea katika kipindi chake
 
Usiamini kila unachosikia kwani vingi huwa ni fununu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…