masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Habarini Wakuu,
Wengine huwa tunajilipua tu haswa kwenda kutizama fursa na kufanya biashara na kutalii. Unakuta hatuna guide wala wa kutupokea. Bila kusahau mikoa mbalimbali haswa ya kibishara.
Na miji mikuu ya nchi kama Nairobi, kampala. Kwa wenye exposure jamani tuambien hotel za kufìkia na ambazo hazifai.
Kuna mengi kwenye kujilipua ila naomba leo tuongelèe sualala hotel (pa kufikia) maana ukishapata sehemu affordable na salama ni rahis kufanya mengine.
Nina clue kidogo ya china. Kule usiende bila kuwasiliana na ma agent watakaokusafirishia mizigo maana wale wanaishi kule ni rahisi kukutengenezea mazingira ya kufikia.
Ila pia huku na huku naambiwa kuna hostel wanafikiaga wabongo (sina unakika) nayo hasa swala la usalama.
Maana bi mkubwa wa rafiki yangu alilizwa 50m na mbongo.
Karibuni wadau