Tetesi: Hoteli ya Starlight nayo yawekwa 'mnadani'

Tetesi: Hoteli ya Starlight nayo yawekwa 'mnadani'

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Nimepata email ya tangazo kutoka mtandao wa 123tanzania ukielezea kuwa Hotel ya Starlight inauzwa kwa dau la USD 3,500,000.
Kwa mdau mwenye hela achangamkie tenda hiyo.
 
Mbona imekaa kama gofu fulani, inafanya kazi kweli hiyo?
 
Hacha
Nimepata email ya tangazo kutoka mtandao wa 123tanzania ukielezea kuwa Hotel ya Starlight inauzwa kwa dau la USD 3,500,000.
Kwa mdau mwenye hela achangamkie tenda hiyo.

Hacha kukurupuka mkuu.....tetesi una mpaka bei,vipi hiyo hoteli iko wapi na kwanini inapigwa mnada?
 
Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
 
Yule mzee mmikiki wa Starlight bado yupo?
Nakumbuka enzi zile miaka ya 85/88 nilikua nakaa mtaa wa zanaki, yule mzee alikua na sinema, bakery yaani ndio ma gsm wa kipindi kile.
 
Hotel ya kitambo sana,ndani kuko kizamani pia

Embassy Hotel waifikirie pia

Ova
 
Kama kumbu kumbu zangu nzuri mwenye hoteli hii wakati huo alikuwa anafahamika kwa jina la Sharif Alwi Ahmed
 
Back
Top Bottom