Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Tena hapo wamepunguza. Walianza na dau la dola milioni tano!Mbona imekaa kama gofu fulani, inafanya kazi kweli hiyo?
Nimepata email ya tangazo kutoka mtandao wa 123tanzania ukielezea kuwa Hotel ya Starlight inauzwa kwa dau la USD 3,500,000.
Kwa mdau mwenye hela achangamkie tenda hiyo.
Mnazi mmoja karibu na Peacock hotel... Kwanini wanauza! Siwezi kufahamu...Hacha
Hacha kukurupuka mkuu.....tetesi una mpaka bei,vipi hiyo hoteli iko wapi na kwanini inapigwa mnada?
Mnazi mmoja karibu na Peacock hotel... Kwanini wanauza! Siwezi kufahamu...
Hii nchi imekwishaNimepata email ya tangazo kutoka mtandao wa 123tanzania ukielezea kuwa Hotel ya Starlight inauzwa kwa dau la USD 3,500,000.
Kwa mdau mwenye hela achangamkie tenda hiyo.