Hoteli ya The Nest Zanzibar yawaka moto

Hoteli ya The Nest Zanzibar yawaka moto

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Hoteli ya The Nest iliyoko Paje Zanzibar yawaka moto, na kwa mujibu wa mashuuda ni kuwa moto huo umesambaa kwa hoteli ya jirani ya inayoitwa Maisha Matamu na unaelekea kusambaa ya tatu!

Zimamoto wamechelewa kufika huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani.

 
Hasara sana hii, kama mtu hujakata insurance, utaumia sana.
 
Zima Moto Wala urojo walichelewa kufika eneo la tukio.

Bila Shaka walikua wanajadiliana Jambo muhimu.
 
Hili ni ombilangu kwako eehh Mungu, TUTENDEE JAMBO JIPYA..🙏
 
Nawaza ndo umeaga umesafiri DXB Kumbe uKO na mchepuko The nest na camera ya mwandishi imekunasa live mkeo anakuona kwenye taarifa ya habari[emoji1787]
 
Hatari ya kujengea makuti!! Tafuteni technology ya kuzuia moto kwenye nyumba za makuti hasa hasa kuzuia kasi ya moto kusambaa ukianza!!!
 
Back
Top Bottom