Hoteli za Mara zimefurika watalii hakuna tena nafasi, wote wamekuja kushangaa nyumbu

When you talk about natural endowments, I proudly know my country second to none (jockingly though). I know how wealth the Northern Circuit is but believe me, irrespective of resources in the Serengeti for example, the high season is greatly favouring the almost barren and dry lands of "Umaisaini" Masai-Mara because all of the most important ruminants in the Serengeti - wildebeest & zebra do migrate in Kenya by Julai - November.
 
Ushamba mwinine huu, this is your high session come November is our turn.
Ushamba mwinine huu, this is your high session come November it will be our turn.
 
They migrate to Kenya only btn August and September! 2 months out of 12 months!

Ushamba mwinine huu, this is your high session come November is our turn.

Ushamba mwinine huu, this is your high session come November it will be our turn.

Ushamba kivipi, kuzungumzia kwamba hteli zimefurika watalii ni ushamba??? Hehehe hivi mbona mtaseka sana na taarifa za Kenya.
 
Imefika wakati wa kugawana mapato yatokanayo nyumbu trek na ndugu zetu wa Kenya maana wanatokea kwetu lkn wanaofaidika ni Kenya peke yake.

Vv
 
Ushamba kivipi, kuzungumzia kwamba hteli zimefurika watalii ni ushamba??? Hehehe hivi mbona mtaseka sana na taarifa za Kenya.
Ushamba maana hujuwi kwanini watalii wamefurika, miezi hii ndio miezi ya kuona nyumbu wanaingia Kenya sasa cha ajabu hapo ni nini?

Kuanzia October na kuendela ni wakati wa Tanzania kufurika watalii katika maeneo ya ukanda huo.
 
Meza tembe za aspirin upunguze pressure maana naona unateseka bure, wapi nimesema sijui kwanini watalii wanafurika, wakati nimesema wamekuja kushangaa nyumbu wakivuka mto.

Take a deep breath bro...
 
Tushabigwa bao,ni juzi tu hapa nimeangalia Ntv wakiongea na huyo huyo Meya akiongelea airport hapo Mara.
Sisi tv zetu ziko busy kuonyesha kina Masanja na tamthilia za wafilipino
Daaaah! Ukweli unauma aisee. Yaani Ahera hatupo, Duniani hatupo😕
 
Ushamba maana hujuwi kwanini watalii wamefurika, miezi hii ndio miezi ya kuona nyumbu wanaingia Kenya sasa cha ajabu hapo ni nini?

Kuanzia October na kuendela ni wakati wa Tanzania kufurika watalii katika maeneo ya ukanda huo.
hata sasa mpakani upande wa Tanzania watalii wapo wanaangalia nyumbu wakivuka mpaka!

https://www.facebook.com/
 
Wakenya wamejitangaza sana. Ona sasa wanavyonufaika na utalii kwa nyumbu kutoka Tanzania. Sisi tunakataza safari za nje na Rais amekuwa wa HAPAHAPA! Ngoja tushuhudie mwisho wa sinema ya viongozi washamba wajiitao wazalendo!!!
Ipo kila sababu ya kuzui nyumbu wetu wasiende Kenya,kwa nini wafaidi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…