Lengo lilikuwa kuweka huduma hii kuwa BURE kwa watu wateja wote! Lakini nimeona wateja wanaofika kunywa maji na laptops wameongezeka, naukichunguza matumizi yao siyo fea! (heavy downloads-movies-music-software), matokeo net inakuwa slow na Potential customers hawapati haki yao! Sasa nimeamua kuwa Natoza Pesa, either watalazimika kununua passwords ambazoni timed- 12,3,5 hrs kulingana na mahitaji! kwa walioko mbali kidogo wanawez kununua kwa M-Pesa na kutumiwa password kwa meseji kama ataona tabu kuja kununua.halafu hio software utatumia kwa biashara au?
Mkuu angalia hiyo link hapo juu download.com ni sehemu nzuri ya kupata software sababu kuna comments za watu ambao wameshatumia hizo software kwahiyo unapata pros and cons kabla haujadownloadLengo lilikuwa kuweka huduma hii kuwa BURE kwa watu wateja wote! Lakini nimeona wateja wanaofika kunywa maji na laptops wameongezeka, naukichunguza matumizi yao siyo fea! (heavy downloads-movies-music-software), matokeo net inakuwa slow na Potential customers hawapati haki yao! Sasa nimeamua kuwa Natoza Pesa, either watalazimika kununua passwords ambazoni timed- 12,3,5 hrs kulingana na mahitaji! kwa walioko mbali kidogo wanawez kununua kwa M-Pesa na kutumiwa password kwa meseji kama ataona tabu kuja kununua.
Salaam wakuu,
Nahitaji Software yoyote ya kumanage HotSpot ili kuwezesha customers kutumia given passwords ili kuweza kutumia wireless internet. Yaani mtu akiwa within range ya Network aweze kuconnect bila matatizo, lakini anapotaka kuaccess kurasa yoyote kwenye internet inamdirect kwenye login page ambayo inamuomba user name na password, kama vile antamedia hotspot; nikipata iliyo full na funguo zake, ama isiyo ya kulipia nitashukuru sana.
Natanguliza shukrani zangu za kweli,
Wasalaam,
Mjomba Amoeba.
JamiiForums
Mkuu angalia hiyo link hapo juu download.com ni sehemu nzuri ya kupata software sababu kuna comments za watu ambao wameshatumia hizo software kwahiyo unapata pros and cons kabla haujadownload
Nimepitapita huko mkuu nikakutana na Connectify, nitakupa majibu nikiijaribu. zingine naona zinapungua features.
Hii inaonekana simple kidogo.
EasyHotspot
then usiuze basi, control what people can do. block those sites. You got it free, now its ur part! play it right!
"Selling internet is like selling water!"
Im pretty sure the Internet he is using is not free.
im pretty sure those people who develop software and made them free use effort! You cant pay effort u know!!!!
U re right . I encourage people to donate for any free software they use . I do it my self . But i dont know the best way i can donate the pirated version of some few good software am using . U either buy it or pirate it
lol
im pretty sure those people who develop software and made them free use effort! You cant pay effort u know!!!!