Hottest Heads of State - JK No. 20

'Kama unampenda sura yake kanywe naye chai!' - Mwalimu JK Nyerere
 
Wanatumia vigezo gani kufikia mpangilio huo....
 
kuwa hot kwa huyu mrembo kumetusaidia nini kiuchumi? Awezi hata kuvaa sura ya kazi? Mfumuko wa bei aliachiwa single digit na Mkapa sasa hivi hatujui tunakoelekea, Amani inayumba, uongozi hauna mwelekeo. Kudadadeki.
 
Hivi kuna na mashindano ya urembo ya Heads of state? Makubwa!!
 
this is non-sense ina faida gani na nchi yetu. Uzuri wake au ubaya hautusaidiii kitu kwetu kama hakuna cha maana atakachokifanya. Nashauri hii mada ipelekwe katika Celebrity Forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…