mimi nadhani wanasiasa watumiwe kwenye Ringtones zao bila kujijua..hivi na hii technolojia haiwezekani? teh teh...hawa ndugu zangu wana akili sana, ingekuwa kwa wenzetu wangekuwa mamilionea kama sio matrilionea, bongo wanasota tu na ndugu zake Rostam Aziz wanawaibia tu kwa kuwapupanza na mabaloon ya mikopo....Inatia hasira...