Tetesi: Hotuba na maudhui ya Pombe zitakumbukwa au la!!!

Tetesi: Hotuba na maudhui ya Pombe zitakumbukwa au la!!!

mfungwa

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
1,291
Reaction score
342
Hivi hizi hotuba huyu mheshimiwa wetu anazozitoa kwenye haraiki ya watanzania na duniani kwa ujumla. Najaribu kuwaza sijui akimaliza kipindi chake cha uongozi kama inaweza kurushwa hata moja. Maana naona Zimejaa kutukana watanzania walio mchagua na kutetea wanaoongoza kwa maguvu. Kwa hiyo inapelekea utawala wa mabavu tu. Naweza kwenda popote na kufanya lolote najua yupo atanitetea. Kumbe hujui una mharibia tu huyo mkuu. Sasa hotuba zake hizi nawaza kama wanamwandalia au zimejaa hisia hisia tu. Washauri wa huyu mheshimiwa tafadhari kaeni chini mumwambie anapoelekea sijui. Tuombe zaidi busara kwenye uongozi.
 
Utaikumbuka kwa lipi,itakuwa tukiwaskilizisha watoto wanaanza kulia,kuwa hiv ilikuwaje mkchagua mtu kama huyu kuwa rais
 
Nakumbuka sisi tuliozaliwa enzi za mwalimu,tulijaribu kulinganisha sana hotuba za marais.Takahitisha kwa kusema mwalimu alitisha kwa hotuba.Masikini akaja JK watu tukamkejeli kuwa hata robo tu ya mwalimu hakufikia.JEEE!! Kwa bwana yule tutasemaje??¿
 
Back
Top Bottom