Yes, kama ulikuwa nayo hiyo penalty.
Wameshaaiweka na wengine wamishaamaliza kuilipaNgoja tuone 1/7/2021.
Mimi nilijua hii penalty wanakuja kuiweka mwishoni. Kumbe tayari wameshatuwekea tunapambana nayo.
Sasa wajumbe hiyo value retention fee(VRF) kwa wale amabo tulishapigiwa toka huko mwanzo na tunaendele kuilipa,je nasi hii inatuhusu,yaani let say principal amount/deni lako ni (X) na three year calculated VRF ni (B),then total amount/deni ni XB,sasaa baada ya hiyo removal ya VRF fee kama mama alivyosema maana yake ndo tuseme deni litakuwa X tu na si XB as per what will be reflected on salary slip with effect from 1st July???
Mkuu mambo yaliendaje kuhusu ulipaji wa hilo Deni?Nilimaliza chuo 2014, nimeanza kulipo loans board 2020, naomba board ikifika july nione mkopo umepungua lasivyo hiyo penalty ipunguze deni zaidi maana kurudisha hawawezi. Nikiibuka board hyo july ntawachapa barua