4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Inasikitisha sanaWakuu wangu jf niwasalim kila mmoja kwa imani yake
Poleni wafiwa wote kwa kuondokewa na wapendwa wenu kisa tu uchaguzi S.za mtaa, nimetoka katika maombi binafsi na moja ya maombi yangu leo nimemwambia Mungu wangu kutimiza kile alinena nami ndani ya siku 67. Katika maombi yangu leo nimewasha mishumaa 7 kuomba azipumzishe roho zao pema peponi.
Ndani ya pitapita katika mitandao nimekutana na hotuba ya Mwenyekiti wa Pwani (Chadema ) machozi yamenitoka ila ni imani yangu Mungu atayafuta tu.
Niombe wanajf mweye hii clip wekeni katika uzi huu .
Juma pili njema watu wa Mungu
Hiyo hotuba iko wapi?Wakuu wangu JF niwasalim kila mmoja kwa imani yake
Poleni wafiwa wote kwa kuondokewa na wapendwa wenu kisa tu uchaguzi Serikali za mtaa, nimetoka katika maombi binafsi na moja ya maombi yangu leo nimemwambia Mungu wangu kutimiza kile alinena nami ndani ya siku 67. Katika maombi yangu leo nimewasha mishumaa 7 kuomba azipumzishe roho zao pema peponi.
Ndani ya pitapita katika mitandao nimekutana na hotuba ya Mwenyekiti wa Pwani (Chadema) machozi yamenitoka ila ni imani yangu Mungu atayafuta tu.
Niombe wanajf mweye hii clip wekeni katika uzi huu.
Juma pili njema watu wa Mungu
Mkuu nimeomba mwenye nayo ,nimeikuta kwenye mitandao ,wakati wa kuaga mwili huko Gongo la mboto mwenye nayo awake hapa ili tusikilize wote, binafsi nimeshindwa kuitoa kuleta hapa jfHiyo hotuba iko wapi?
kila nafsi itaonja umauti,Wakuu wangu JF niwasalim kila mmoja kwa imani yake
Poleni wafiwa wote kwa kuondokewa na wapendwa wenu kisa tu uchaguzi Serikali za mtaa, nimetoka katika maombi binafsi na moja ya maombi yangu leo nimemwambia Mungu wangu kutimiza kile alinena nami ndani ya siku 67. Katika maombi yangu leo nimewasha mishumaa 7 kuomba azipumzishe roho zao pema peponi.
Ndani ya pitapita katika mitandao nimekutana na hotuba ya Mwenyekiti wa Pwani (Chadema) machozi yamenitoka ila ni imani yangu Mungu atayafuta tu.
Niombe wanajf mweye hii clip wekeni katika uzi huu.
Juma pili njema watu wa Mungu
Mkuu kaa mbali ,sitaki unajisi katika maombi yangu kimpindi ichi, nakueshim sana tafadhalikila nafsi itaonja umauti,
hakuna haja ya kutoa machozi hata kidogo 🐒
Kitila Mkumbo mweupe sana huyu bila Magufuli kamwe asingekuwa mbunge hana uwezo wa kumshawishi mtu ampe kura yake
Itapendeza sanaMm nimeota kwamba ya tarehe 17 March 2021 yanaenda kujirudia mwaka 2025.
gentleman,Mkuu kaa mbali ,sitaki unajisi katika maombi yangu kimpindi ichi, nakueshim sana tafadhali
Wakuu wangu JF niwasalim kila mmoja kwa imani yake
Poleni wafiwa wote kwa kuondokewa na wapendwa wenu kisa tu uchaguzi Serikali za mtaa, nimetoka katika maombi binafsi na moja ya maombi yangu leo nimemwambia Mungu wangu kutimiza kile alinena nami ndani ya siku 67. Katika maombi yangu leo nimewasha mishumaa 7 kuomba azipumzishe roho zao pema peponi.
Ndani ya pitapita katika mitandao nimekutana na hotuba ya Mwenyekiti wa Pwani (Chadema) machozi yamenitoka ila ni imani yangu Mungu atayafuta tu.
Niombe wanajf mweye hii clip wekeni katika uzi huu.
Juma pili njema watu wa Mungu
Ningekua na chuki wala nisingetanguliza neno mkuu, sasa nakwambie kiama chenu chaja asema Bwanagentleman,
heshima ni kitu cha bure cha hiyari,
omba bila kuchoka na uombe mambo ya maana sasa, sio kuomba huku ukiwa na chuki ndani yako,
Usidanganyike na jina ndugu, huyo alipewa mimba na kutelekezwa na mchaga,ndio maana yupo hivyo alivyo.Wachaga huwa hawatunani, wanajenga hoja.
Halafu wachaga wote wako bize kukuza mitaji ya biashara zao, na siyo kukuza uchawa.
Thanks mkuu ,hii ni hotuba ya watu wenye akili ,chawa kaa mbali na hotuba hii
OK endelea, utajua hujuiUshapakatatwa sio?
Mungu yupo kazini
CCM iko chini ya Bwana wa majeshi, lakini pia ccm ni jemedari wa vita.Ningekua na chuki wala nisingetanguliza neno mkuu, sasa nakwambie kiama chenu chaja asema Bwana