HOTUBA YA Che Guevara: December 11, 1964, 19th UN General Assembly

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Ukibahatika kuisoma hotuba hii ambayo inapatikana yote kwenye links hapo chini zikiwa na vipade vya vedio vya hotuba hiyo, utagundua kuwa US, UN na NATO bado wanatumia kanuni zilezile walizozitumia miaka ya 1960s kuyumbisha ulimwengu. Comred Che alifafanua kila kitu jinsi UN ilivyokuwa inatumiwa vibaya na US na washirika wake.

Tunazidi kuyaona haya huko Syria, Afrika ya DRC-Kinshasa, Phalestine/Ghaza, Yemen kwa uchache ; pia tumeyaona huko Afrika ya Libya, Iraq, Afghanistan na kwingineko.

Pia Comred Che alifafanua suala la uhusiano wa Puerto Rico na US ambalo aliligusia Bakari Pandu Said (Kinyasini, Zanzibar) katika barua yake kwenda kwa Mzee Mwanakijiji.

Nasikitika kusema kuwa Demokrasia inayozungumzwa na nchi za magharibi nina wasiwasi ni ghiliba. Wangeacha kutumia kanuni hizi zinazohatarisha uhuru wa nchi zisizokubalina na matakwa yao ningewaelewa. Bahati mbaya sana baadhi "yetu" hatujalitambua hili.



Source:http://www.marxists.org/archive/guevara/1964/12/11.htm

Che Guevara speech at UN 1964 (English subtitles!!) - YouTube

 
Last edited by a moderator:
Hongere comrade ila umetangulia mbele ya haki, maneno yako yanaisha milele hadi leo congo DRC mchezo ni ule ule wa miaka 1960's kwamba ni gulio la wazungu kuvuna mali bila jasho na wafrika kila siku wanaua na damu zao kumwagwa kila siku.
hii bado ni kazi ya USA, GB, NA OTHER WESTERN OR IMPERIALISTIC POWERS.BILA MKOMUNISTI MBEPARI CHINA AMBAO WANA UZA HADI VIJIKO KATIKA MASOKO YETU YA WAMACHINGA HUKU AFRIKA.
Ndugu zangu waafrika tunahitaji watu kama wakina Lumumba na Guevera sio vichaa wa madaraka kama KIKWETE NA LOWASSA AMABO WAMETUMBUKIZA TAIFA LETU KTK AIBU KUBWA.
 
Viongozi wa style za kina Guevala hakuna kabisa waliokuwa wamebaki ni Hugo Chavez na Fidel Castro tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…