mimi nadhani JK haishi katika muda tunaoishi maana miezi mingine ina mwisho mingine haina!
Pamoja na mapungufu yake. Kwa hili Rais ameliezea vizuri na kwa kweli maudhui ya sheria yakifuatwa vizuri yatatatua mambo mengi sana...
Kwangu mimi ninayeamini mifumo zaidi ya kubwatuka maneno nadhani ... hili ni miongoni mwa yale ambayo atatakiwa kujivunia kwenye utawala wake.
hii sheria inashughulikia vipi kampeni chafu za kuchafua wagombea?
inalazimisha vipi vyama kuweka wazi vyanzo vyote vya fedha zake;
inaweka mipaka kiasi gani cha fedha mwananchi wa kawaida anaweza kuchangia au taasisi?
Mzee mzima sheria ni ya matumizi ya fedha kwenye uchaguzi... this is so far the scope.
Sheria itaweka wazi hivi kwenye kanununi... lakini framework is ready... in reality sheria inajibu kiu yako yote!!! Yaani sheria imwachia waziri mwenye dhamana kuweka kanununi... na kwa kweli kila kitu kitakuwa wazi.
Shughuli ni kuisoma kuelewa ili iweze kutekelezeka badala ya kulalama.....
nilidhaani hiyo sheria tayari imeshapitishwa; bado?
Is it worthy listening?
Rais Kikwete ameanza kuhutubia Taifa katika utaratibu wa mwisho wa mwezi. Ameanza kuzungumzia suala la rushwa katika uchaguzi kama alivyozungumzia kule kwenye Mkutano wa TAKUKURU Mwanza.. more to come..
Kama itabana wapinzani itafanya kazi. Kama ni CCM basi itakuwa ni bla bla bla za siku zoteYawezekana hii sheria ikafanya kazi. Cha msingi ni kusubiri utekelezaji wake
Inamaana hakuna mtu aliyepelekwa mahakamani kwa sababu ya EPA ? BOT ? hakuna watu waliojiuzuru kwa ajili ya Richmond/Dowans ?
Katika mambo yote hujawahi kuona mafanikio ya serikali ya sasa ? Tanzania ni nchi inayokuwa kwa kasi sana kiuchumi afrika ya mashariki ukiacha rwanda
GT,mie wala sioni baya alilolisema Muungwana
Msingi wa hotuba yake kasema ni sheria ijayo ya gharama za uchaguzi