Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 18,772 Reaction score 8,939 Mar 1, 2010 #41 Kigogo said: yeye mwenyewe ameingia madarakani kwa mihela ya EPA sasa anajitunisha kifua kutunga sheria anamtungia nani? Click to expand... Ndio maana watu wana sema AUNGAME kwanza kabla ya kusaini hiyo sheria.
Kigogo said: yeye mwenyewe ameingia madarakani kwa mihela ya EPA sasa anajitunisha kifua kutunga sheria anamtungia nani? Click to expand... Ndio maana watu wana sema AUNGAME kwanza kabla ya kusaini hiyo sheria.
Lyangalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2009 Posts 679 Reaction score 234 Mar 1, 2010 #42 JKT, ni mwingi wa maneno lakini ni Nature ya watu wa Pwani wana Taralila kibao utekelezaji sifuri. Neglect his massage you will live strong.
JKT, ni mwingi wa maneno lakini ni Nature ya watu wa Pwani wana Taralila kibao utekelezaji sifuri. Neglect his massage you will live strong.