Hotuba ya jk kwenye maadhimisho ya miaka 33 ya ccm

KIWAVI

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2010
Posts
1,817
Reaction score
700
Namtaza JK akihutubia wana-CCM kwenye maadhimisho; kwakweli hiii pia ni moja ya hotuba chache nzuri za huyu jamaa, sikumbuki katika miezi kadhaa iliyopita kama ameweza kutoa hotuba ya namna hii

  • anazungumzia mambo muhimu yanayohusu maandalizi ya uchaguzi
  • fund raising ndani ya chama
  • wanachama wanao-collude chama
  • pesa
  • nk

lets see how he will finish this hotuba
 
mod usiiondoe au iunganishe kama zipo nyingine
 
inabidi useme anachosema sasa na wengine wajue... anahutubia nini.. n.k
 
KIWAVI

Vipi zile karatasi zake za njano anazo? au leo anatumia teleprompter?

Kama unaweza kutupa mtiririko kidogo ingetusadia sisi ambao tunatumia generator mpaka saa hii
 
aaah Mkuu wa nnchi mimi nasinziaga nikisikia anahutubia, mara nyingi anachombeza vijineno vineno, naonaga kama Taraabu ama mipasho yakina mzee Yusuph.
 
KIWAVI

Vipi zile karatasi zake za njano anazo? au leo anatumia teleprompter?

Kama unaweza kutupa mtiririko kidogo ingetusadia sisi ambao tunatumia generator mpaka saa hii

leo anatumia karatasi (ila sijui kama pia anatumia teleprompter... )

MMMKjj... kusema anayosema haiwezekani, labda niandike key points maana sina huo uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…