Ingelikuwa star tv ningeangalia mkuu lakini tbc nilisha jitowa siangalii tv ya chama
"unachokiangalia sasa sio TBC mkuu, Youtube clip ambayo mimi nimekuwekea, basi angalau angalia hii Part 3 yakhe ....
KAMATI YA MARIDHIANO SIX:WARIOBA AWASILISHA RASIMU 18 MARCH 2014 PART 3/5 - YouTube "
Mkuu mbona hujatuwekea part 4 & 5 ya hotuba ya Jaji Warioba?