Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Friends ladies and gentlemen,
Inasekekana kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti Chadema taifa, aliandaa mapema sana, hotuba mbili muhimu na za maana sana. Moja ya kushinda uchaguzi, na nyingine ni ya kushindwa uchaguzi.
Sasa inadaiwa na mnyetishaji wa karibu na timu ya mgombea huyo kwamba, ile hotuba ya kushindwa uchaguzi na kujiengua Chadema imevuja, na tayari imewekwa wazi kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Je,
kuna mdau aliyonayo my friends ladies and gentlemen, ili kwa pamoja tupate kumjua na kufahamu muhusika huyo mwenye maandalizi na mipango imara namna hiyo?🐒
Mungu ibariki Tanzania