Tetesi: Hotuba ya kushindwa uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa na kujiengua CHADEMA yavuja

To late umechelewa kufanya propaganda
Huyo mgombea ni makini sana yaani anakwenda kwenye uchaguzi akiwa anajua kabisa kunaekushinda na kushindwa uchaguzi,

ila tu ameenda mbali zaidi, hadi kujiengua?🐒
 
Yani kweli Mungu yupo Yani Ccm usingizi awapati kabisa
visungura vya lema bado vipo gentleman, ñjoo kwenye lango la kuingilia utoe Lock gentleman,

ngoma hii ni saa10 au 11🐒
 
Gentlemen! Unakesha kabsa kusubiri bwana 🤣tobo/shimo ashindwe inaonesha ukichanjwa damu yako wewe ni mfuasi wa bwana penis-we
relax gentleman mambo ni bam bam 🐒
 
Huu uchaguzi umethibitisha namna gani ulivyo MPUMBAVU.
kuandaa hotuba ya kushinda uchaguzi na kushindwa ni ujasiri wa kiwango cha juu sana,

ila kujiengua ndio tatizo, au unaonaje gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…