thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
Endelea kuota.Makamu kwa hii nchi hana nguvu yoyote, n bc tuu tunajipa matumaini
Hao watekaji anashindwa nini kuwachukulia hatua ?Mbona hajatekwa kama hana sauti! Kaseme wewe hayo anayosema uone matokeo yake
SawaEndelea kuota.
Wao wameshindwaje kumteka mtu kero kwao asiye na nguvu!Hao watekaji anashindwa nini kuwachukulia hatua ?
Nchimbi asilete mambo ya Kikwete ya kuzunguka dunia nzima akiwa waziri wa mambo ya nje lakini alipopata urais akashindwa kufanya chochote cha maana kutokana na uzoefu alioupata.Yupo upande wa victims of a system, naye anategemea sauti za wananchi wanaoweka maisha yao hatarani kwa kuwasemea watanzania.
Kwa mamlaka ya makamu wa raisi tu angebadilisha mambo mengi
Nampa benefit of doubt.Nchimbi asilete mambo ya Kikwete ya kuzunguka dunia nzima akiwa waziri wa mambo ya nje lakini alipopata urais akashindwa kufanya chochote cha maana kutokana na uzoefu alioupata.
Kwani lini Makamu wa Rais akawa na nguvu yoyoteYupo upande wa victims of a system, naye anategemea sauti za wananchi wanaoweka maisha yao hatarani kwa kuwasemea watanzania.
Kwa mamlaka ya makamu wa raisi tu angebadilisha mambo mengi sana.
Hii ni uthibitisho tosha kuwa mamlaka nyeti ya urais yalipokwa kinyume na matakwa ya katiba na kukabidhiwa kiharamu kwa mtu asiyetosha katika nafasi ya urais.Yupo upande wa victims of a system, naye anategemea sauti za wananchi wanaoweka maisha yao hatarani kwa kuwasemea watanzania.
Kwa mamlaka ya makamu wa raisi tu angebadilisha mambo mengi sana.
Rais anawalaumu wazazi kutowazuia watoto wao kuhusiana na yaliyotokea Oktoba 29... Makamu wake anatuma ujumbe kuwa haki za binadamu ni pamoja na mama kumuona mtoto wake akiwa salama.Hii ni uthibitisho tosha kuwa mamlaka nyeti ya urais yalipokwa kinyume na matakwa ya katiba na kukabidhiwa kiharamu kwa mtu asiyetosha katika nafasi ya urais.
Mbona hajafunguliwa kesi ya uhaini kama hana nguvu.Makamu kwa hii nchi hana nguvu yoyote, n bc tuu tunajipa matumaini
Miaka yote Kwa hapa Tanzania ,cheo cha makamu wa Rais ni bendera tuYupo upande wa victims of a system, naye anategemea sauti za wananchi wanaoweka maisha yao hatarani kwa kuwasemea watanzania.
Kwa mamlaka ya makamu wa raisi tu angebadilisha mambo mengi sana.
nguvu yake huonekana pale mtu anadedi. kabla ya hapo makamu ni ceremonial leaderKwani lini Makamu wa Rais akawa na nguvu yoyote
Yeye kuwa kutokuwa na nguvu na kufunguliwa kesi kunaingiliana vpMbona hajafunguliwa kesi ya uhaini kama hana nguvu.