Hatupo hapa kurudia makosa ya mwalim. Mwalim alikaa madarakani kwa karne mbili au zaidi. Lakini that was past, Lipumba anataka kupeleka chama kama grocery store business.
Maneno aliyoyasema hapo juu yana make sense, i didnt argue about that. Ninachobisha ni yeye Lipumba kuendelea kuplay politics wakati ndani ya Zanzibar CUF na CCM awaziki makaburi mamoja, wakati CUF na CCM hawaoi nyumba mmoja, wakati watoto wa CUF na CCM hawachezi makida makida kamba mmoja. Hilo ndio ninalolizungumzia mimi.
Lipumba ameshaongoza CUF kwa miaka 15 sasa, hii inanifanya nihoji jee CUF haina viongozi wapya? Au Lipumba is the only qualified candidate in that party? Mimi naona Lipumba anawadhalilisha watanzania wote kwa kuwaoana vilaza na hawana uwezo wa kuongoza, hivyo basi ameng'ang'ania kushikilia madaraka kwa miaka 16 sasa.
I know CCM ni wezi and they do wrong kwa Wanzazibar lakini CUF jee wanawatendea haki wa Zanzibar? Status quo ndio inatumaliza viongozi wa dunia ya tatu, they believe kwamba wao ni wao na hakuna wengine.
I challange Lipumba kuachia madara na kuwa senior member wa chama, kwani ameshindwa. Amegombea 1995 ameshindwa, 2000 ameshindwa, 2005 ameshindwa. Sasa what make him the best candidate? Please don't jump in the badwagon ya CCM wabaya wakati CUF viongozi wao ni wamependa madaraka mania.