Hotuba ya Magufuli...hehehe Watanzania mnalo, naona hii sawa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Watanzania wamejitutumua wanataka kuandamana kama Kenya, sasa Magufuli ametoa mikwara balaa na kuwa mkali hadi hatari. Kwa jinsi ninajijua kwamba huwa sina uvumilivu, binafsi naona sawa, naona kama kuna cha kuiga hapa kwa marais wa Afrika.

Tanzania ndio nchi ambayo kweli ina Rais, kiongozi wa nchi anatakiwa awe na sauti sio Rais unaburuzwa tu kifala na kundi la wahuni no Rais anatakiwa asimame anaplay part ya urais kama kiongozi mkuu wa nchi

Huko Kenya hamna Rais mna toy pale ikulu ambae mnaweza kumuendesha mnavyotaka kama TV na remote control, nope Tanzania that's not applicable, order first.
 
Acha utani mkuu. Nini cha kuiga hapo? Najaribu kufikiria ingekuwa vipi kama rais Uhuru Kenyatta angejaribu kuiga msimamo kama huo wa JPM. Au umesahau ile kauli ya waandamanaji. Kwamba maandamano hayanogi bila 'teargas'?
Too much democracy too much dumbing, there should reach a state where there's no difference between the president and normal Street hooligan because anything hooligans could plan and confronting the president, he doesn't have choice more than to agree with them, nope that's not Tanzania

JPM explained clearly this is no time for politics people have to work until 2020
 
Sawa basi, ila baada ya miaka 24 ya utawala wa rais mstaafu Daniel Arap Moi, wakenya hatuna hamu tena na marais wa sampuli hiyo. Chaguo letu hilo, tena tulilipiga muhuri tulipopiga kura kwa wingi 2010 ili tupate katiba mpya. Mtu akija na zake, maandamano tuko tayari kuyafanya tena na tena. Mungu alibariki taifa letu tukufu la Kenya.
 
Well said sir!
 
Kwa kweli
 
Mihimili ipo, rais si ni mtu wa kawaida tu kama wengine. Au wewe unahisi mtu akichaguliwa kuwa rais, tena kwa kura zetu, anaacha kuwa binadamu alafu anakuwa malaika? Rais kazi yake ni kuunganisha nchi. Hayo mengine ya kutunishiana misuli yaliisha na watawala wa mikoa wakati wa ukoloni.
 
Sasa mbona mkiandamana mnauliwa kama wanyama?, kama katiba iliruhusu, vipi bado watu wanaendelea kuuliwa?
 
Sawa basi, ila baada ya miaka 24 ya utawala wa rais mstaafu Daniel Arap Moi, wakenya hatuna hamu tena na marais wa sampuli hiyo.
JPM is doing fine, hajafika state ambayo watu wanasema, Mambo ambayo JPM atafanya Tanzania ni maajabu na amefukarisha wengi sana hasa ukizingatia Tanzania ilikua the most rotten country in the world, corruption was at the highest pick to the extent fisadi ndio mjanja and feel proud of being fisadi publicly

Civil servants 89% walikua mafisadi kama ni daktari afisadi dawa za wagonjwa, mwalimu atauza examination papers before examination time, accountant ndio usiongee, land officers watafake documents kudhulumu wanyonge, yaani kila nafasi was rotten jamaa saivi kuleta systems hakuna kapokea cash kwenye government transactions ni electronically na maximum monitoring kwenye government assets.

Hiyo ni grassroots huku juu ndio usiongee, sasa usitegemee atapendwa.
 
Mihimili ipo, rais si ni mtu wa kawaida tu kama wengine. Au wewe unahisi mtu akichaguliwa kuwa rais, tena kwa kura zetu, anaacha kuwa binadamu alafu anakuwa malaika? Rais kazi yake ni kuunganisha nchi. Hayo mengine ya kutunishiana misuli yaliisha na watawala wa mikoa wakati wa ukoloni.
Mihimili ipo, rais si ni mtu wa kawaida tu kama wengine. Au wewe unahisi mtu akichaguliwa kuwa rais, tena kwa kura zetu, anaacha kuwa binadamu alafu anakuwa malaika? Rais kazi yake ni kuunganisha nchi. Hayo mengine ya kutunishiana misuli yaliisha na watawala wa mikoa wakati wa ukoloni.
Me sijasema Rais ni alien ila lazima kuwe na tofauti kati ya Rais na cartel goon
 
Sasa mbona mkiandamana mnauliwa kama wanyama?, kama katiba iliruhusu, vipi bado watu wanaendelea kuuliwa?
Katiba mpya ndio inatimia mwaka wa nane sasa hivi tangu tuanze kuitumia. Binadamu ni wale wale, ila safari huanza kwa hatua moja. Ikifika mwaka wa ishirini na tano baada ya kuanza kutumia katiba yenyewe, natumai safari ndo itakuwa imeanza. Inshaalah.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha utani mkuu. Nini cha kuiga hapo? Najaribu kufikiria ingekuwa vipi kama rais Uhuru Kenyatta angejaribu kuiga msimamo kama huo wa JPM. Au umesahau ile kauli ya waandamanaji. Kwamba maandamano hayanogi bila 'teargas'?

Hehehehe kwa kauli za hiyo ya Magufuli sidhani kama atapoteza muda kwa kutumia teargas, nakumbuka ipo siku alisema anatamani sana kuacha urais na kuwa IGP, yaani mkuu wa polisi ili pachimbike.
 
Back
Top Bottom