Hotuba ya Magufuli...hehehe Watanzania mnalo, naona hii sawa

Nadhani ni RAIS ambaye anaongoza kwa KUTOSHA katika madaraka duniani. Sijawahi kumsikia akilalamika jambo au uzembe ukitokea. Yeye ni kutoa maamuzi tu. Tunataka mtu kama huyu. Ni kuamua tu, si kulia lia kama Uhuru Kenyatta mafisadi wakikwiba mali ya umma.

Marais wengine wanaofuatia ni
1. Rais wa Korea ya Kaskazini
2. Rais wa Ufilipino
3. Kidogo na Trump wa Marekani
 
Can a narcissistic personality disorderly person be patient with opponents?
 
Watanzania wamejitutumua wanataka kuandamana kama Kenya, sasa Magufuli ametoa mikwara balaa na kuwa mkali hadi hatari. Kwa jinsi ninajijua kwamba huwa sina uvumilivu, binafsi naona sawa, naona kama kuna cha kuiga hapa kwa marais wa Afrika.

Mlifanya Maandamano
mkaua uchumj
mkaua watoto
Wakenya wasio na Hatia wamepoteza maisha yao
leo Raila na Uhuru wanakunywa soda
Nini kimebadilika
mtaweza rudisha Nafsi zile!!
Mambo mengine msipende kuiga kipumbavu hayana Mantiki kwa wakati huo
Kama unategemea Maandamano Tanzania hilo futa
 

Wewe huwa unakurupuka kutoka kwenye shimo gani, maandamano huleta heshima, husababisha watu wanaskizwa, husababisha nchi inasonga mbele badala ya kuendeshwa kama maboya, husaidia kumfahamisha rais kwamba nchi sio ya babake wala mamake bali ya raia wote, kwamba hana uwezo wa kufanya atakacho muda autakao sikua aitakayo.

Kenya imepiga hatua sana kwa ajili ya maandamano, binafsi zamani nilikua nahusika sana, na nikipata fursa lazima niingie barabarani na kusema yangu ya moyoni tena nikiimba.

Sasa likija kwa Tanzania, kwanza wenyewe mpo waoga, uwezo huo hamuna, hulka yenu huwa ya kiuwoga uwoga na ndio maana haya maandamano yanaendeshwa na mwanamke aliye Ulaya, maana mijitu hapo hamuwezi hata kuongea. Pili, nyie ni wazembe na wavivu sana kiasi mkiandamana mnairudisha nchi nyuma na ndio maana naunga kauli za rais wenu mfanye kazi na kuacha kuiga Kenya maana sisi hata tukiandamana, tunapiga kazi nchi inaendelea na kuongoza kiuchumi, kielimu na kila kitu.
 
Me sijasema Rais ni alien ila lazima kuwe na tofauti kati ya Rais na cartel goon
Kumbuka kwamba nguvu za kiti cha rais zilisambazwa kwa viongozi wengine na pia mihimili tofauti. Chini ya katiba mpya ya Kenya, baada ya mchakato wa muda mrefu wa kuandika katiba upya. Hayo yote ili kujikinga dhidi ya nafsi zetu sisi wenyewe. Nguvu za kuamulia binadamu wengine watakavoishi zina ulevi wake wa kiaina. Kama unasema rais si malaika basi inamaanisha kwamba maamuzi yake si ya mwisho na lazima awe tayari kusikiza maoni ya wengine.
 

Kwa hiyo maandamano yote hayo na kuua watu na uharibifu wa mali pia kuapishwa kwa RAO na upotevu mkubwa wa pesa kupitia uchaguzi wa marudio, matokeo yake ni Uhuru Kenyatta na Rao kunywa chai ikulu.

Wakenya mnahitaji matibabu ya kiungo cha kufikiri.
 
Tarehe 26 ndio utajua kuwa kufanya kazi na njaa haifai.
Au kufanya kazi isio na faida,haifai.
Maandamano hadi kieleweke
 
Kwa hiyo maandamano yote hayo na kuua watu na uharibifu wa mali pia kuapishwa kwa RAO na upotevu mkubwa wa pesa kupitia uchaguzi matokeo yake ni Uhuru Kenyatta na Rao kunywa chai ikulu.

Wakenya mnahitaji matibabu ya kiungo cha kufikiri.

Kikao cha Raila na Uhuru sijafuatilia sana maana Kenya ni zaidi ya hao wawili, kumbuka wameikuta Kenya ikiwa ilivyo na wataiacha, kuna jinsi tulivyo, kuna jinsi huwa tunaiendesha nchi yetu. Mimi nakuambia huyo Magufuli akipewa awaongoze Wakenya, hata siku moja hivi hatofaulu, maana sisi likija suala la kudai haki huwa hatuna reverse gear, sio kama nyie mdebwedo ndio zenu.
 
Muda mwingine huwa nakuona Boya sana kichwani
Umejaa ushabiki usio na kichwa wala miguu
Kati ya Taz na Kenya
ni nchi gn wananchi wake wanakufa na njaa miaka nenda rudi!
Hayo maandamano yamewasidia nini wakenya!
Mtu anashindia maziwa ya mbwa unakuja kubwabwaja utumbo!!
Wananchi wako hali mbaya miaka nenda rudi
hawana ajira, Ulinzi hovyo
uhalifu umetamalaki kona yote ya kenya
hayo maandamano yameleta afueni au msaada upi kwa Raia wa kenya!!
Endeleeni kuiga ujinga
 
Kwa hiyo maandamano yote hayo na kuua watu na uharibifu wa mali pia kuapishwa kwa RAO na upotevu mkubwa wa pesa kupitia uchaguzi matokeo yake ni Uhuru Kenyatta na Rao kunywa chai ikulu.

Wakenya mnahitaji matibabu ya kiungo cha kufikiri.
Kuna baadhi ya wakenya Akili zao Wanajua wenyewe nimungu yupi aliwapatia!!
 

Hayo yote unayotapika ni yale yale ulikaririshwa na kuzoea kuibuka nayo kila ukikurupuka, cha msingi mpo bado mbali sana kuikaribia Kenya.
 

Wewe hujui siasa, Uhuru Kenyatta na RAO ndiyo Kenya at the moment. Wakiongea lolote irresponsibly nchi inaweza ikatikisika. Na ndiyo MAANA kina Charles Tailor hata Uhuru na Ruto walipelekwa The Hague, si kwamba wao ndo walibaka na kuua bali ni their influence to the mass. Hivyo RAO na Uhuru wakiongea kichochezi vijana wa kibera hutajua walikotokea ila utakuta wamejazana majiani, huku damu ikimwagika.
 

Funny, you forget that Magufuli has been part of the rotten system for 20+ years as a senior public servant and member of the Cabinet. And that Magufuli himself is very corrupt and a crook just like other CCM crooks: Kikwete, Lowassa, Mkapa, Chenge, Ngeleja etc. All of the ufisadi you talk, CCM is to blame. And the same CCM is still in power.

Ufisadi bado upo sana, ila sasa upo controlled na Magufuli and his posse. Sasa Magufuli ndiyo exchequer, mpanga bajeti, muidhinishaji wa matumizi ya pesa za umma n.k. Halafu fools like you believe he is anti-corruption.

Ni kweli Magufuli anafanya maajabu ambayo hatujawahi kuyashuhudia Tanzania, kwa sababu he is so vile, sadist, and a wannable dictator. Hatujawahi kushuhudia a top polician's assassination attempt inside a secured government housing estate! Hatujawahi kuona maiti za watu zikiokotwa pwani kama masalia ya matumbawe. Yes, chaguzi zetu siku zote zipo rigged, but hatujawahi kushuhudia chaguzi zikiambatana na extreme and violent use of state policing machineries kama sasa. On top of these, uchumi unakwenda alijojo, watu wanaogopa, watu hawana furaha, wafanyakazi wanafukuzwa kama panya, n.k.

Ever asked yourself if Magufuli has good intentions with Tanzania, kwanini anafanya mambo gizani? Kwanini kajitoa kwenye OGP? Kwanini hataki sisi walipa kodi na wenye nchi kuwa na taarifa zote zinazohusu pesa za umma, na matumizi yake?

If this sorry **s of a president is genuine let him ammend the constitution to allow for incumbent and retired presidents to be court sanctioned for mistakes that they did before and when in Office.
 
Watanzania wamejitutumua wanataka kuandamana kama Kenya, sasa Magufuli ametoa mikwara balaa na kuwa mkali hadi hatari. Kwa jinsi ninajijua kwamba huwa sina uvumilivu, binafsi naona sawa, naona kama kuna cha kuiga hapa kwa marais wa Afrika.



Ah? Hapana. Our country iwe tu hivi hivi kama huo ndio "amani" mnayozungumzia na kutaka.

Rais wetu alete nyoko nyoko ndio atatutambua. Adhubutu tu hayo ya Magufuli.
 
Umempa kaka,akikujibu ni kichaa
 
Watanzania wamejitutumua wanataka kuandamana kama Kenya, sasa Magufuli ametoa mikwara balaa na kuwa mkali hadi hatari. Kwa jinsi ninajijua kwamba huwa sina uvumilivu, binafsi naona sawa, naona kama kuna cha kuiga hapa kwa marais wa Afrika.

Mkuu kwa hili tuonee huruma tu
Rwanda walianza hivi Burundi haya haya Uganda ndio balaaa sasa Tz inanuka
Maandamano ya Amani ni njia sahihi ya kutuma ujumbe kwa viongozi
Uhuru mstaarabu sana na muungwana hana vijembe wala matusi wala vitisho huyu wa kwetu ni hatareeee so Mkuu tuhurumie tu!
 
Watanzania wamejitutumua wanataka kuandamana kama Kenya, sasa Magufuli ametoa mikwara balaa na kuwa mkali hadi hatari. Kwa jinsi ninajijua kwamba huwa sina uvumilivu, binafsi naona sawa, naona kama kuna cha kuiga hapa kwa marais wa Afrika.

Nnachompendea Magufuli ni MTU Wa Action.. Kama kitu ni Sahihi wala hakusikilizi anaenda Jino kwa Jino.. That's why he has succeeded for the last two years... We're making big steps kwasababu ya yeye kuwa mkali..
 
Mkuu tuna kichaa aliyekabidhiwa nchi eti aiongoze!!!! Tangu lini kichaa akaweza kuongoza chochote kile achilia mbali kuongoza nchi!? ONLY IN TANZANIA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.

Watanzania wamejitutumua wanataka kuandamana kama Kenya, sasa Magufuli ametoa mikwara balaa na kuwa mkali hadi hatari. Kwa jinsi ninajijua kwamba huwa sina uvumilivu, binafsi naona sawa, naona kama kuna cha kuiga hapa kwa marais wa Afrika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…