Nnachompendea Magufuli ni MTU Wa Action.. Kama kitu ni Sahihi wala hakusikilizi anaenda Jino kwa Jino.. That's why he has succeeded for the last two years... We're making big steps kwasababu ya yeye kuwa mkali..
Aisee, you must be sick somewhere ?Nnachompendea Magufuli ni MTU Wa Action.. Kama kitu ni Sahihi wala hakusikilizi anaenda Jino kwa Jino.. That's why he has succeeded for the last two years... We're making big steps kwasababu ya yeye kuwa mkali..
Hawezi kukujibu hapaFunny, you forget that Magufuli has been part of the rotten system for 20+ years as a senior public servant and member of the Cabinet. And that Magufuli himself is very corrupt and a crook just like other CCM crooks: Kikwete, Lowassa, Mkapa, Chenge, Ngeleja etc. All of the ufisadi you talk, CCM is to blame. And the same CCM is still in power.
Ufisadi bado upo sana, ila sasa upo controlled na Magufuli and his posse. Sasa Magufuli ndiyo exchequer, mpanga bajeti, muidhinishaji wa matumizi ya pesa za umma n.k. Halafu fools like you believe he is anti-corruption.
Ni kweli Magufuli anafanya maajabu ambayo hatujawahi kuyashuhudia Tanzania, kwa sababu he is so vile, sadist, and a wannable dictator. Hatujawahi kushuhudia a top polician's assassination attempt inside a secured government housing estate! Hatujawahi kuona maiti za watu zikiokotwa pwani kama masalia ya matumbawe. Yes, chaguzi zetu siku zote zipo rigged, but hatujawahi kushuhudia chaguzi zikiambatana na extreme and violent use of state policing machineries kama sasa. On top of these, uchumi unakwenda alijojo, watu wanaogopa, watu hawana furaha, wafanyakazi wanafukuzwa kama panya, n.k.
Ever asked yourself if Magufuli has good intentions with Tanzania, kwanini anafanya mambo gizani? Kwanini kajitoa kwenye OGP? Kwanini hataki sisi walipa kodi na wenye nchi kuwa na taarifa zote zinazohusu pesa za umma, na matumizi yake?
If this sorry **s of a president is genuine let him ammend the constitution to allow for incumbent and retired presidents to be court sanctioned for mistakes that they did before and when in Office.
umumiani kuua Na kuchinja Na kuharibu ni kazi za shetani.Kabisaaaaaaa kipo cha kuiga..
Funny, you forget that Magufuli has been part of the rotten system for 20+ years as a senior public servant and member of the Cabinet. And that Magufuli himself is very corrupt and a crook just like other CCM crooks: Kikwete, Lowassa, Mkapa, Chenge, Ngeleja etc. All of the ufisadi you talk, CCM is to blame. And the same CCM is still in power.

2020 ndio mtaelewa maana ya DemokrasiaAmesucceed kwenye lipi wewe!? Hebu acha uongo!!!
WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini
Funny, you forget that Magufuli has been part of the rotten system for 20+ years as a senior public servant and member of the Cabinet. And that Magufuli himself is very corrupt and a crook just like other CCM crooks: Kikwete, Lowassa, Mkapa, Chenge, Ngeleja etc. All of the ufisadi you talk, CCM is to blame. And the same CCM is still in power.
Ufisadi bado upo sana, ila sasa upo controlled na Magufuli and his posse. Sasa Magufuli ndiyo exchequer, mpanga bajeti, muidhinishaji wa matumizi ya pesa za umma n.k. Halafu fools like you believe he is anti-corruption.
Ni kweli Magufuli anafanya maajabu ambayo hatujawahi kuyashuhudia Tanzania, kwa sababu he is so vile, sadist, and a wannable dictator. Hatujawahi kushuhudia a top polician's assassination attempt inside a secured government housing estate! Hatujawahi kuona maiti za watu zikiokotwa pwani kama masalia ya matumbawe. Yes, chaguzi zetu siku zote zipo rigged, but hatujawahi kushuhudia chaguzi zikiambatana na extreme and violent use of state policing machineries kama sasa. On top of these, uchumi unakwenda alijojo, watu wanaogopa, watu hawana furaha, wafanyakazi wanafukuzwa kama panya, n.k.
Ever asked yourself if Magufuli has good intentions with Tanzania, kwanini anafanya mambo gizani? Kwanini kajitoa kwenye OGP? Kwanini hataki sisi walipa kodi na wenye nchi kuwa na taarifa zote zinazohusu pesa za umma, na matumizi yake?
If this sorry **s of a president is genuine let him ammend the constitution to allow for incumbent and retired presidents to be court sanctioned for mistakes that they did before and when in Office.
2020 ndio mtaelewa maana ya DemokrasiaView attachment 710644
Excuse me!ujinga first!Tanzania ndio nchi ambayo kweli ina Rais, kiongozi wa nchi anatakiwa awe na sauti sio Rais unaburuzwa tu kifala na kundi la wahuni no Rais anatakiwa asimame anaplay part ya urais kama kiongozi mkuu wa nchi
Huko Kenya hamna Rais mna toy pale ikulu ambae mnaweza kumuendesha mnavyotaka kama TV na remote control, nope Tanzania that's not applicable, order first.
Excuse me!ujinga firstTanzania ndio nchi ambayo kweli ina Rais, kiongozi wa nchi anatakiwa awe na sauti sio Rais unaburuzwa tu kifala na kundi la wahuni no Rais anatakiwa asimame anaplay part ya urais kama kiongozi mkuu wa nchi
Huko Kenya hamna Rais mna toy pale ikulu ambae mnaweza kumuendesha mnavyotaka kama TV na remote control, nope Tanzania that's not applicable, order first.
Wala siitaji kumuelimisha mjinga, Kufa na Ujinga wako, Ila 2020 kazi mnayoUsiandike uongo kama huna evidence ya kuthibitisha ulichoandika. Mapato ya TRA yameanduka, ATCL hasara ndani ya miaka miwili 223.1 billion. Uchumi umeanguka, mabiashara zaidi ya 7,000 nchini yamefungwa na wengine wanaendelea kufungwa, hofu na taharuki zimrtanda nchi nzima, deni la Taifa ndani ya miaka miwili tu kalipaisha toka 43 trillion hadi 58 trillion na bado wanaomba mikopo zaidi. Acha ujinga USIKURUPUKE kuandika pumba humu bila ya kuwa na SUPPORTING EVIDENCE ni janga kubwa la Taifa. Kwa miaka 57 ya uhuru wa Tanganyika Baraza la Maaskofu halijawahi kuandika waraka kama huu wa kumuonya yeyote nchini lakini kwa mara ya kwanza baada ya kuvumilia kwa miaka miwili wakasema ENOUGH IS ENOUGH. Fungua akili yako usikubali kuidumaza.
Wala siitaji kumuelimisha mjinga, Kufa na Ujinga wako, Ila 2020 kazi mnayo
Strategy ya Mhe. JPM ni "Kuzuia" yaani "preventive" na sio kupoteza muda na rasilimali kuponesha "Cure". Anapotoa onyo anampa mtu muda ajipime "Je inalipa?" Yaani "Is it worthy it?" Sio kupoteza muda wako "mwandamanaji" na wa wengine "raia wenye subira".Hehehehe kwa kauli za hiyo ya Magufuli sidhani kama atapoteza muda kwa kutumia teargas, nakumbuka ipo siku alisema anatamani sana kuacha urais na kuwa IGP, yaani mkuu wa polisi ili pachimbike.
Sawa[emoji23].. Ila 2020 sio mbali..Hahahahahahaha lol! akili yako ndiyo ilipoishia hapo. Nakuambia lete supporting evidence ya kuonyesha success ya huyo dhalimu unaishia kutoa povu zito!!! Umeshasikia maneno mawili maarufu nchini kuhusu VYUMA KUKAZA!? Umesikia hasara kubwa ya ATCL ya 223.1 Billion? Umesikia Wafanyakazi kukosa promotion na nyongeza kwenye mishahara yao? Vipi kuhusu ndege iliyokamatwa Canada na $300 million za Makinikia? Kinafichwa nini kuhusu kuanguka kwa makusanyo ya mapato TRA?
UZWAZWA mwisho Lumumba kwa MAZWAZWA wenzio humu tutakuchapa za uso tu. Eti amesucceed!!!! Wa wapi weye!????
umumiani kuua Na kuchinja Na kuharibu ni kazi za shetani.
Yohana : Mlango 10
10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
CCM Chama cha Mashetani